• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  April 25, 2014

  EVENT: THE UNSTOPPABLE NIGHT - 2nd MAY 2014, JIPANGE.

  HAINA KIINGILIO


  Wow! Fishers Of Men Wanakuleta "THE UNSTOPPABLE NIGHT" Hii Itahappen 2nd May 2014 Kutakuwa Na Dansazi Wakali, Praise & Worship, Inspiration & Motivation, Lakini Pia Kutakuwa na Wanamuziki wa Kizazi Kipya Yaani GOSPEL HIP HOP, Atakuwepo PETER BANZI, VEE JAY SHWARI KUU, BRIAN MWIMBA, GEE, ELANDRE, DANNISH Pia Atakuwepo SHEM Kutoka KENYA!  

  Mahali Ni Dodoma Katika Ukumbi Wa "CHIMWAGA HALL" Kuanzia Saa Mbili Za Usiku Na kuendelea!