Tuesday, April 29, 2014

ELANDRE KUACHIA ALBUM TAR. 30 MAY 2014.

Chief Hope | 8:55:00 PM |
Elandre ,moja kati ya rapperz wachache wa Tz wanaokimbiza East Africa kutokana na kipaji ambacho MUNGU amemkirimia bila uchoyo pia bila kusahau umahiri wake wa ku flow na uandishi ambao mara nyingi husushwa katika kimombo au kiswa-kinge bila kuacha maudhui ya kugusa ambayo huyangolea kupitia tungo zake ambayo kwa kiasi kikubwa ni biblical influenced truth na imani yake thabiti aliyoijenga juu ya Mwamba usiotikisika.

         Elandre ambaye ameachia ngoma nyingi mtandaoni kama vile apologize,keep moving,everyday na nyinginezo kupitia mtandao wa reverbnation,leo amefunguka kupitia mtandao wa facebook akibainisha kuwa album yake ya PROJECT 3;16 imekamilika na iko tayari kutolewa tarehe 30/05/2014 kama alivyopost kwenye page yake ya facebook pamoja na picha ya promo kuhusu album hiyo

    "The album is finally here guys and girls. PROJEKT 3:16 based on the LOVE of God towards mankind despite all our flaws. Release date: 05.30.2014. #difficultbutnotimpossible #projekt316 [Please spread the news] pamoja.."

Endelea kufuatilia blog yetu kwa updates zaidi kuhusiana na The new anticipated album from the man himself Emanuel Andrewz A.K.A Elandre...

9 comments:

 1. #Project 3:16 Nice Idea!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kweli kuna Ushindi unaposimamia Neno.

   Delete
 2. Big up kiungo[Warumi12:5]
  #Yesu_Okoa_Mitaa, Kila kona ya mtaa.
  #TimHeaven tupo pamoja.

  ReplyDelete
 3. I Love Gospel Hip Hop!
  Big Up Guys!

  ReplyDelete
 4. Big Up! Reppin TZ for d Most High!

  ReplyDelete
 5. waiting sana bro yaan,, u cant blv brodah... big up sana

  ReplyDelete
 6. One great change for tz

  ReplyDelete

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN