Saturday, April 12, 2014

HAYA NDIO MASWALI YATAKAYOPELEKEA KUPATIKANA MSHINDI WA OFA YA TIM HEAVEN

Chief Hope | 11:35:00 AM |
Jinsi ya kujibu maswali
1.utajibu maswali haya kwa kucoment chini ya hii post
2.unapojibu andika jina lako na namba yako ya simu
3.wa kwanza kujibu maswali yote kwa usahihi ndio atakuwa ndio mshindi wetu
N.B:vigezo  na masharti kuzingatiwa
Maswali ni kama ifuatavyo
1.Neno la Mungu linasemaje katika kitabu cha warumi 1:16
2.Taja angalau collabo (nyimbo za kushirikiana) za gospel hihop mbili ambazo unazijua za hapa Tanzania,taja majina ya nyimbo na waimbaji
3.Nini kirefu cha Y.O.M  TZ?je katika t shirt zinazotolewa na Y.O.M project kumeandikwa maneno gani yaandike

4 comments:

 1. swali la pili ni noma #utata!

  ReplyDelete
 2. EDWIN SHILLAH
  0712 247560
  >Swali la kwanza (1)
  Katika kitabu cha Warumi 1:16 Neno la Mungu linasema..

  "Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia."

  >Swali la pili (2)
  Nyimbo mbili za kushirikiana za Gospel Hip Hop za hapa Tanzania ni..

  1. Gazuko ft. Daniel Mbepela, ACHA KULIA
  2.Gazuko ft. Bashando,Brian Mwimba, Bishop Shaboka Nichodemus, CHUNGUZA

  >Swali la tatu (3)
  Kirefu cha Y.O.M ni

  Yesu Okoa Mitaa

  Na katika T-shirt zinazotolewa na Y.O.M project kumendikwa maneno yafuatayo;

  GOSPEL HIP HOP Yesu Okoa MITAA, YOM-PROJECT TANZANIA

  ReplyDelete

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN