Tuesday, April 8, 2014

OFA! OFA! OFA! KUTOKA TIM HEAVEN NA HII NI KILA WIKIENDI!

Chief Hope | 3:52:00 PM |
  
Tim Heaven Inakuja na ofa babukubwa kwa wapenzi wote wa muziki wa Gospel Hip Hop na ofa hii inakuwa ni kila wikiendi.  Kila wikiendi Kambi Nzima ya Tim Heaven itauliza maswali matatu na atakae jibu maswali yote matatu atajishindia BUKU TATU (3,000/=) KAMA Vocha Mtandao wowote!
Kwa maelezo zaidi Piga Simu namba 0714153369, 0657044315 Au 0683795253!
Ofa Hii Imeletwa kwenu na Tim Heaven China ya udhamini wa Novic BCvm na Sir.Mbezi!

3 comments:

  1. Awali ya yote ningependa niupongeze uongozi mzima wa #TimHeaven kwa ubunifu huu wa hali ya juu.
    Vile vile napenda kuwapongeza kwa kuutambua umuhimu na mchango wa hadhira mpaka kuamua kurudisha shukrani kwao hata kwa njia hii ya kutoa OFA! ya muda wa maongezi(Voucher) bureee! Mbarikiwe na Mungu mnae mtangaza azidi kuwapatia mafunuo ya maarifa zaidi na zaidi. Amen
    @Y.O.M, Tz.

    ReplyDelete

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN