Monday, May 5, 2014

EVENT: NAONGOZWA NA ROHO - APOSTLE BASHANDO ALBUM LAUNCH

Chief Hope | 1:19:00 PM |
Baada Ya Uzindunzi Wa Rungu La Yesu Sasa Ni Zamu Ya Apostle Bashando, Ni Tarehe 25 May 2014 Pale MSB HALL hatua Chache Kabla Ujafika Tegeta.
Muda: Saa 8:00 Mchana Hadi Saa 2:00 Usiku.
HAINA KIINGILIO!Waimbaji Watakao kuwepo: Band Kali Ya B4C


 Rungu La YesuSir.Mbezi Na Wengine Kibao!

1 comments:

  1. Hadi mkundamizaji yupo lazima nitokee. Apost.bashando.

    ReplyDelete

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN