Monday, September 15, 2014

JE UNAPENDA KUJUFUNZA MUZIKI, KUIGIZA NA KUIMBA AMA KUREKODI KARIBU HEAVENLY VOCAL & MUSIC SCHOOL!

Chief Hope | 3:24:00 PM |
                     Habari Njema Kwa Wakazi Wa Dar Es Salaam  Kutoka Kwa  HEAVENLY VOCAL & MUSIC SCHOOL.  HEAVENLY VOCAL & MUSIC SCHOOL Wanafundisha Miziki,"Kuimba, Kucheza Paino, Gitaa, Drums, Music Production Na Video Production. Lakini Pia HEAVENLY VOCAL & MUSIC SCHOOL Wanastudio Kubwa Na Maproducer Wazuri Na Wenye Uzoefu Mkubwa. HEAVENLY VOCAL & MUSIC SCHOOL  Wanapatika Kimara Butcha.
Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nao Kwa Namba +255716985625.   


0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN