• Isikupite Hii

    September 20, 2014

    Wow! RUNGU LA YESU NDANI YA CHUO CHA BIBILIA!

                Safari Imeanza Dar Kuelekea DOdoma Kuwahudumia Wanathiologia! Wow Hii Ni Nzuri Na Inatia Moyo Sana! 
                Rungu La Yesu Moja Kati Ya Wanaharakati Wakubwa Na Wakongwe Hapa Tanzainia Katika Muziki Ama Huduma Hii Ya Gospel Hip Hop, Anaefanya Poa Sana Na Ngoma ile ile Inayopendwa Na Wengi ILIKUWA ZAMANI.. 
              Bila Kukosea Rungu La Yesu Ndiye Atakuwa Mwanagospel Hip Hop Wa Kwanza Hapa Tanzania Kuhudumu/Kuchana Katika Chuo Kikubwa Cha Biblia Kama Hicho Alicho Harikwa Huko Dodoma!