• Isikupite Hii

    November 11, 2014

    MAAMUZI MAGUMU WIMBO MPYA FROM SirMbezi COMING SOON

                          SirMbezi Ni Moja Kati Ya Gospel Rappers Wanaofanya Vyema Hapa Tanzania, Hivi Karibu SirMbezi Ameaidi Kuachia Wimbo Mpya Unaokwenda Kwa Jina La MAAMUZI MAGUMU.

                   Mbali Na Hayo yote SirMbezi Ananyimbo Nyingi Kama Vile Hiyo Siku Na Nyingine Nyingi Lakina Pia SirMbezi Amefanya Vizuri Kabisa Katika Colabo Mbali Mbali Alizo Fanya Kama Vile MLOKOLE , AMINI Na Nyingina Nyingi Tu.....!