• Isikupite Hii

    December 10, 2014

    DE GOWER AJIPANGA KUACHIA ALBUM


               De Gower Ni Moja Kati Vijana Wenye Umri Mdogo Lakini So Talented. Tofauti Na Kipaji Cha Kurap (Kuchana Mistari) De Gower  Pia Anauwezo Mkubwa Wa Kudizaini (Yani Ni Graphic Designer Pia). 

         Kitu Kinachonifurahisha Na Kunibariki Ni Kwamba De Gower Anatumia Vipaji Vyake Kulitukuza Jina La Mungu Na Kuisambaza Injili. Mpaka Saa  De Gower Ana Baadhi Ya Nyimbo Chache Ambazo Ziko Mtandaoni. Unaweza Kuzi Download Hapa.

          Last Time Tulipokutana Na De Gower Aliniambia anatarajia Kuachia Album Yake Ya Kwanza Hivi Karibuni. Kiukweli Itakuwa Ni Album Kali Sana, Sababu Anipa Baadhi Ya Vionjo Na Nikabarikiwa Sana.