• Isikupite Hii

  January 14, 2015

  MASANJA MKANDAMIZAJI NDANI YA YOM.

  Masanja Mkandamiziji Akiwa Na Kiongozi Wa YOM Rungu La Yesu

         Yesu Okoa Mitaa (YOM) Ni Kikundi Cha Wanagospel Hip Hop Kinachofanya Vizuri Sana Hapa Jijini Dar Es Salaam. Watu Wengi Wamekuwa Na Maswali Kwamba Je Masanja Amejiunga Na Kikundi Hicho Cha YOM? Baada Ya Picha Hii Apo Juu Kusambaa Katika Mitandao Ya Kijamii (Masanja Ametupia Tshart Ya Yesu Okoa Mitaa Na Akiwa Rungu La Yesu, Kiongozi Wa Kikundi Hicho). 

       Jibu Ni Hapana Masanja Ajajiunga Na Kikundi Hicho Cha Yesu Okoa Mitaa Lakini Masanja Anakubali Harakati Zinazopigwa Na Vijana Wa Yesu Okoa Mitaa, Na Hata Katika Birthday Ya Yesu Okoa Mitaa Ilio Fanyika Miezi Michache Ilio Pita Masanja Alikuwepo Akisherekea Pamoja Nao. Lakini Pia Masanja Mkandamiziji  Aliimba Wimbo Wake Wa "AMINI TU" Ulio Katika Mfumo Wa Gospel Hip Hop.   Na Hii Hapa Chini Ndiyo Video Ya Wimbo Wa Masanja Mkandamizaji "AMINI TU"