• Isikupite Hii

    January 15, 2015

    Download wimbo: Umenifanya ning'are - Christina Shusho.

    Habari leo tena tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa Christina Shusho, Wimbo unaitwa Umenifanya Ning'are. Download wimbo huu na enjoy mtu wa Mungu

    Christina shusho ameambatanisha wimbo pamoja na video yake.

    Tazama hapa: Umenifanya ning'are - Christina Shusho