• Isikupite Hii

  January 3, 2015

  JE WEWE NI MWIMBAJI, MSANII, AMA UNAKIPAJI?

               Hello, Kama Wewe Ni Mwimbaji, Msanii, Mtunzi Ama Unakipaji Cha Aina Yoyote Ile Then Hii Inakuhusu Sana.
  Tim Heaven Inakupa wewe Nafasi Ya Kuonesha Uwezo, Ubunifu Na Kipaji Chako Kwa Maelfu Ya Watu Wanao Tazama Blog Yetu. Unachotakiwa Kufanya Ni Kutuma Nyimbo, Ushuhuda, Story Ama Kazi  Zako Kwa Email Yetu Timheaven100@gmail.comNa Sisi Tutazipost Kwa Blog Yetu Hii.

  Ukituma Wimbo Hakikisha Unatuma Maelezo Yako, Na Maelezo Ya Huo Wimbo Na Cover Angalau (600*600 pixels). Pia Tuma Majina Unayoyatumia Katika Mitandao Mbalimbali Ya Kijamii. Ili Mashabiki Wako Waweze Kukupata Kiurahisi.

  Ukituma Story Ama Kazi Yako Hakikisha Kazi Iyo Ni Nzuri Na Iwe Ujumbe Utakao Jenga Watu Watakao Isoma Au Kuitazama Kwa Naama Moja Ama Nyongine. 

  Hatuta Post Nyimbo Ambazo Hazimpi Mungu Utukufu, Lakini Pia Hatutapost Story Ama Shuhuda Ambazo Hazina Maana Yoyote Ile. Vigezo Na Masharti Kuzingatiwa.