• Isikupite Hii

  January 12, 2015

  NOVIC BCVm WA Wa NURU AONGEA JUU YA WIMBO WAKE MPYA NA MIXTAPE YAKE.

        


         Novic BCVm Wa Wa Nuru Amefunguka Juu Ya Wimbo Wake Mpya "NIMEKIRI" Na Mixtape Yake Mpya Inayoitwa "GOSPEL RAP". Ndani Ya Mixtape Hii Utapata Nafasi Ya Kuwasikia Waimbaji Wengi Wapya Kama Vile Julieth, F One, Wa KRISTO Na G Tano. Presented By Novic BCVmWashiriki Wote Ni Wanachuo University Of Arusha. 
        Kwanza Kabisa Novic BCVm Alisema " "NIMEKIRI" Ni Track (Wimbo) Namba Mbili Katika Mixtape Ijayo Ya Wa Nuru ~ Novic BCVm, Itayoitwa "GOSPEL RAP" Itayotoka Hivi Karibuni. Ndani Huu Wimbo Huu Mpya "NIMEKIRI" Tumezungumza Juu Ya Kuukiri Wokovu Kama Warumi 10:9-11 Inavyosema.  
       Dhumuni La Watunzi Ni Kuonesha Thamani Ya Wokovu Walioupata Kama Zawadi Bila Ya Kuugharimia/kulipia Bali Kwa NEEMA Ya KRISTO Kwa Njia Ya MSALABA. Wanawatakia Wasikilizaji Neema Na Ujasiri Wa Kuukiri Wokovu 2015 Hata Milele. 
    Officially Wimbo Huu "NIMEKIRI" Itazinduliwa Tarehe 16 Katika Mkesha Wa Wanachuo Huko Mjini Moshi. 
   Unaweza Kuwasapoti Kwa Kulike Page Zao Novic BCVm NA Wa Nuru.