• Isikupite Hii

  January 9, 2015

  R.I.P BONGO FLAVOR

                
               

            R.I.P Bongo Flavor, Wengi Tulikupenda, Tulikuthamini Na Kukusapoti. Hatukujua Ubaya Na Athali Zako Katika Maisha Yetu. Ulituchochea Kuimba Mapenzi, Ngono, Bifu Na Mambo Mengine Mengi Yasiokuwa Na Manufaa Katika Maisha Yetu, Wengi Uliwaingiza Kwenye Dimbwi Na Ukawazamisha Wakashindwa Kutoka Hadi Mauti Ilipowakuta. Sisi Wengine Tuliokolewa Kwa Neema, Na Tunailestisha In Peace Bongo Flavor. GOSPEL MUSIC IS BACK ARE YOU READY?? Alisema Rungu La Yesu!

        Hakikisha Unashare Na Kucomment. Na Hii Ndio Kauli Mbiu Yetu Mwaka Huu 2015. Kama Tuko Pamoja Tuma Picha Yako Na Ujumbe Mfupi Juu Ya Mwisho Wa Bongo Flavor Na Urejesho Wa Gospel Music Kwenye Email Yetu Timheaven100@gmail.com.

  Ujumbe Na Picha Utakao Tuma Kwenye Email Yetu Tutaushare Kwenye Blog Yetu Na Baadhi Ya Page Za Waimbaji Mbali Mbali Wa Gospel Muisc.

  Powered By Rungu La Yesu, Yesu Okoa Mitaa Na TimHeaven