Friday, January 23, 2015

VIDEO: HII NDIO STORY FUPI YA MTOTO WA ROSE MUHANDO

Chief Hope | 2:05:00 PM | |
Essau alizaliwa mwaka 1995 mwezi wa 12 tarehe 29. Mwaka 2013 alianza rasmi kazi ya muziki wa injili huko mkoani Mbeya na kutoa albam yake ya kwanza ‘Nitakubeba Yesu’ kisha akatoa albam ya pili ‘Nimeokota Jina’ na mwaka 2014 akaja na albam ya tatu "Yesu Vuruga".

Download Wimbo: Superstar - Essau Amani (Mtoto Wa Rose Muhando)

Tazama Video Hapa.
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN