• Isikupite Hii

  January 21, 2015

  WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NA UFREEMASON
  Imezuka Tabia Moja Katika Taifa Letu Kwamba Waimbaji, Wahubiri Ama Mtu Yeyote Akifanikiwa/Akiwa Na Mafanikio Makubwa Watu Wanasema Kwamba Uyo Mtu, Mwimbaji Ni Freemason!
    
  Wapo Waimbaji Wengi Wa Nyimbo Za Injili Wanaosemekana Kwamba Ni Mafreemason Na Kisa/Chanzo Cha Wao-Kuitwa Mafreemasons Ni Mali/Pesa Wanazo Miliki.

  Swali Ni Kwamba Je Mungu Hawezi Kubariki Au Kuinua Watu Wake?

  Sisemi Kwamba Hakuna Manabii Wa Uongo, Wapo Na Hata Biblia Yenyewe Imesema Kwamba Nyakati Hizi Za Mwisho Kutakuwa Na Manabii Wa Uongo(Tena Wengi).

  Njia Pekee Ya Kuwatambua Manabii Wa Uongo Ni Kwa Matendo Yao Na Sio Kwa Pesa, Magari Au Mali Anazomiliki Mtu. (Mathayo 7:16

  Mwisho, Sizani Kwamba Ni Jambo La Busara Kumwita/Kusema Mwimbaji/Muhubiri Flani Ni Freemason Kisa Anamiliki Magari Na Nyumba Nzuri. 
  .