• Isikupite Hii

    January 14, 2015

    DOWNLOAD WIMBO: EMMANUEL MBASHA - HARIBU KAZI ZA SHETANI

       


    Watu Wamesema Mambo Mengi, Blogs Mbali Mbali Zimeandika Mambo Mengi Juu Ya Emmanuel Mbasha. Siwezi Kurudia Yaliyosemwa Na Wala Siwezi Kuongozea, Lakini Mimi Naamini Jambo Moja Kwamba MUNGU Huwapigania Watu Wake, Hata Kama Jamii Ikiwaponda Na Kuwasema Vibaya Lakini Mwisho Wa Siku Ushundi Ni Lazima.