Saturday, February 28, 2015

EKA INJILI MSANII ALIEFANYA VIZURI ZAIDI MWEZI WA PILI (FEBRUARY 2015).

Chief Hope | 4:05:00 PM |

TIM HEAVEN


Eka Injili Ndiye Msani Aliefanya Vizuri Zaidi Mwezi Pili (February 2015), Na Wimbo Wake Mpya "USINIACHE". Unaweza Kudownload Kwa Kubofya Hapa Chini. 


Eka Injili Ni Mwimbaji Ambae Amekuwa Na Maajabu Mengi Sana, Mwaka Jana Eka Injili Alipiga Tour Zaidi Ya Mikoa Minne Hapa Nchini Akiwa Na Wimbo Mmoja Tu. 

Mbali Na Hayo Yote Eka Injili Ameingia Kwenye Top 10 Ya Gospel Jams Across Africa MDUNDO.
0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN