Thursday, February 19, 2015

EKA INJILI: MSANII ALIEPIGA TOUR KWA NGOMA MOJA SASA ATANGAZA KUACHIA NGOMA YA PILI.

Chief Hope | 11:53:00 AM |

Eka Injili Ni Mwanaharakati Wa Yesu Okoa Mitaa. Licha Ya Kuwa Na Single (Wimbo) Mmoja Tu Unaokwenda Kwa Jina "NIMESIMAMA"  Eka Injili Alipiga Tour Zaidi Ya Mikoa Mitatu Ambayo Ni Iringa, Songea, Mbeya Pamoja Na Dar Es Salaam.

Na Sasa Eka Injili Ametangaza Kuachia Wimbo Mwingine Unaokwenda Kwa Jina "USINIACHE", Tarehe 25/2/2015.


0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN