• Isikupite Hii

    February 19, 2015

    MUSIC: INUKA - SHWARI KUU VJ FT ANGEL BENARD.
    Msanii wa muziki wa kizazi kipya "ShwariKuu Vj" toka A-town "Arusha" anaefanya vizuri sana katika tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya, Ameachia single nyingine mpya akiwa na Angel Benard. Idownload na kuisikiliza Hapa.