• Isikupite Hii

  February 21, 2015

  YESU OKOA MITAA KUWASHA MOTO KESHO, PALE KIMARA SUKA. USIKOSE

                      
  Yesu Okoa Mitaa Presents "AMINI CONCERT".  Kesho, Tarehe 22/2/2015, Katika Kanisa La God's Kingdom Embassy Pale Kimara Suka, Nyuma Ya Kituo Cha Mafuta Cha Gapco. NI BURE HAKUNA KIINGILIO.

  Waimbaji Wa Yesu Okoa Mitaa Wote Watakuwapo Na Waimbaji Wengine Wengi.

  Kwa Maelezo Zaidi Piga Simu Namba +255 716 241 358
                                                           +255 714 153 369
                                                           +255 712 348 032.