• Isikupite Hii

  February 2, 2015

  JE! UNAPENDA KUJIFUNZA KUIMBA, KUPIGA KINANDA NA GUITAR KARIBU HEAVENLY MUSIC SCHOOL AND STUDIO!

  Je ungependa kujifunza kuimba, kupiga kinanda na guitar karibu ‎‎Heavenly  Music School And Studio. Ndani ya mwezi mmoja utaweza kuimba, kupiga guitar na kinanda kwa ustadi.

  Heavenly  Music School and Studio wanamasomo ya jioni kuanzia saa moja usiku (7:00pm), hasa kwa wale wafanyakazi ama watu wasiopata nafasi mchana kutokana na majukumu mbali mbali walionayo.   

  Karibu Heavenly  Music School And Studio ujipatie ujuzi wa kimataifa na kufanyiwa kazi zenye ubora, kwaya na vikundi vitafuliwa kwa ajili ya kurecord.

  Shule ipo Kimara Butcha, Dar es salaam.
  Kwa maelzo zaidi piga 0716 985 625.

  By Chief Hope

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.