• Isikupite Hii

  February 24, 2015

  CHRISTINA SHUSHO KUZINDUA ALBUM YAKE YA TANO. KESHO TAREHE 1/3/2015.  Jumapili Hii Tarehe 1/3/205 (Kesho) Christina Shusho Atakuwa Akizindua Album Yake Ya Tano.

  Uzinduzi Utafanyika Katika Ziwanja Vya Kanisa La Pentekoste Tabata Kisiwani (Kituo Relini Mwananchi). Kuanzia Saa 8 mchana. Hakuna Kiingilio.

  Alitangaza Christina shusho kupitia Account Yake Ya Facebook.


  Usikose.