Thursday, February 26, 2015

"SIR MBEZI ON STAGE" TAMASHA HILI SIO LA KUKOSA. TAREHE 8/3/2015.

Chief Hope | 9:57:00 PM |

kweli nimeamini maneno yao kwamba Yesu Okoa Mitaa aijafa na ndo kwanza inaanza. 

Yesu Okoa Mitaa Presents "SIRMBEZI ON STAGE" Ni Tarehe 8/3/2015, Pale T.A.G MOUNTAIN MOVERS (tabata muslim, Nyuma ya soko) Kuanzia Saa 8:00 Mchana. Ni Bure Hakuna Kiingilio.

Jeshi Zima La Yesu Okoa Mitaa Litakuwepo, Rungu La Yesu, Eka Injili, Chief Hope, Magele Winner, Brian mwimba, Morefire, Ester Mbuguni, Amani Shabani, George Maige na R 4 C Pia Watakuwepo.0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN