Saturday, March 21, 2015

MWANADADA EDNA KUJA AHAIDI KULETA MAGEUZI KWENYE MZIKI WA INJILI.

Chief Hope | 4:42:00 PM | |

Tofauti na waimbaji wengini, malengo makuu ya Edna Kuja katika Uimbaji wake yamekuwa  ni kuleta uhai katika muziki wa Injili, kutumiwa na Mungu kama chombo kugusa maisha ya watu ambao Mungu amewakusudia.

Ukiacha yeye mwenyewe kuwa mwanadada anayesifika kwa viwango vya juu katika kazi zake Edna Kuja anavutiwa na waimbaji wengi ambao wanafanya kazi zao kwa viwango wakiongozwa na waimbaji Angel bernad Na Wengine Wengi.

Edna anatarajia kuzindua album yake ya pili,Umenifuta machozi ambapo hivi karibuni. 

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN