Tuesday, March 24, 2015

BONY MWAITEGE AWATAKA WAKRISTO WABADILIKE.

Chief Hope | 10:07:00 PM |

 Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook Bony Mwaitege Aliwahasa Wakristo Kwa Maneno Yafuatayo.

"Inasikitisha kuwa Wakristo tuko tayari kusafiri na SIMU kuliko BIBLIA, Tunaona bora kusoma SMS kuliko neno la MUNGU. Inakuwaje unaweza kununua simu hadi ya laki 8 ushindwe kununua BIBLIA?
BIBLIA haihitaji charge, vocha wala network lakini unashindwa kuibeba, Imebainika kuwa tunapolala tunaweka SIMU karibu sana kuliko BIBLIA natunapoamka tunatafuta SIMU badala ya BIBLIA
MKRISTO BADILIKA LEO"

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN