• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  March 3, 2015

  EKAINJILI AZIDI KUKIMBIZA MDUNDO,AINGIA TOP TEN ZA BONGO,HAWAFUNIKA WABONGO FLEVA  Na hivi ndivyo alivyoandika Eka Injili baada ya wimbo wake wa Usiniache uingie Top Ten kwenye chati za Bongo.  Lakini Pia Eka Injili Aliingia Katika Weeky Round Up Ya Top Ten Gospel Jams Across Africa (Mdundo)  Unaweza Kuidownload Ngoma Yake Hapa