Tuesday, March 24, 2015

EVENT: PASAKA CONCERT - TAREHE 6 APR 2015. USIKOSE.

Chief Hope | 11:41:00 AM | |

Yesu Okoa Mitaa Presents "PASAKA CONCERT" Ni Jumatatu Ya Tarehe 6/4/2015 Kuanzia Saa 8:00 Mchana Pale K.L.P.T BAGAMOYO Kwa Mchungaji Ndaki.

Jeshi Zima La Yesu Okoa Mitaa Ndani Rungu La Yesu, Afande Bright, Chief Hope, Mic Gower, Brian Mwimba, Amani Shabani Na Wengine Wengi.

Pia Kwaya Mbalimbali Zitakuwepo Pamoja Na Waimbaji Mbalimbali Kama Vile Joshua Ndaki Na Keneth Myombe. 
.

.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN