Thursday, March 5, 2015

RUNGU LA YESU ATANGAZA RASMI KWA WOTE WANAOFATILIA HUDUMA YAKE DUNIANI KOTE KWAMBA.......

Chief Hope | 4:52:00 PM |
Kupitia Acccount Ya Yake Ya Facebook Rungu La Yesu Ametangaza Rasmi Kwa Wote Wanaofatilia Huduma Yake  Duniani Kote Kwamba Video Yake Mpya "ILIKUWA ZAMANI" Ikifikisha Views (watazamaji) 5,000 (Youtube) Ndani Ya Wiki Hii Ataipeleka Kwenye Vituo Vyote Vya Runinga. Kama Unapenda Hii Itokee Hakikisha Unaitazama Na Kushare Video Hii.
https://www.youtube.com/watch?v=krb-bwBAaO4.
               
                

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN