Saturday, March 7, 2015

KESHO NDIO SIKU YENYEWE ILE "SIRMBEZI ON STAGE" USIKOSE KATIKA TAMASHA HILI.

Chief Hope | 11:55:00 AM |

Yesu Okoa Mitaa Presents "SIRMBEZI ON STAGE" Ni Tarehe 8/3/2015 (Kesho), Pale T.A.G MOUNTAIN MOVERS (tabata muslim, Nyuma ya soko) Kuanzia Saa 8:00 Mchana. Ni Bure Hakuna Kiingilio.

Jeshi Zima La Yesu Okoa Mitaa Litakuwepo, Rungu La Yesu, Eka Injili, Chief Hope, Magele Winner, Brian mwimba, Morefire, Ester Mbuguni, Amani Shabani, George Maige na R 4 C.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN