Saturday, April 11, 2015

EVENT: EDNA KUJA KUZINDUA ALBUM YAKE - AMENIFUTA MACHOZI (DVD). TAREHE 3/05/2015.

Chief Hope | 11:57:00 AM |

Usipange Kukosa Katika Uzindunzi Wa DVD Ya EDNA KUJA "AMENIFUTA MACHOZI". Ni Jumapili Ya Tarehe 3/05/2015 Pale UBUNGO PLAZA - BLUE PEARL HOTEL Kuanzia Saa 8:00 Mchana.  HAKUNA KIINGILIO.

Waimbaji Mbali Mbali Watakuwepo Kama Vile Eka Injili, Lilian Mariki, Abwene Mwasongwe, Bomby Johnson, Gazuko Junior, Lilian Kimola Na Wengine Wengi.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN