Wednesday, April 15, 2015

EXCLUSIVE: NGOMA MPYA TOKA KWA EKA INJILI "ZAIDI YA JANA" IKO NDANI YA TOP 10 ZA MDUNDO.

Chief Hope | 10:12:00 PM |
Watu Wengi Wamekuwa Na Maswali Juu Ya Hii Ngoma Mpya "ZAIDI YA JANA" Toka Kwa Eka Injili, Je! Itaweza Kufanya Vizuri Kama Ile Nyingine "Usiniache

Jibu Ni Ndio Ngoma Hii Mpya "ZAIDI YA JANA" Imefanya Vizuri Na Sasa Iko Kwenye Top 10 Za Mdundo Kwa Upande Wa Bongo.

Click Hapa Kutazama Habari Via Mdundohttp://mdundo.com/news/4206.Click Hapa Kudownload Wimbo Huo Mpya Toka Kwa Eka Injili.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN