• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  April 8, 2015

  MAAJABU: TAZAMA VIDEO VIPANDE VYA CHUPA VIKITOKA MACHONI KWA MTOTO WA MIAKA KUMI NA MBILI.


  Dunia Imejaa Mambo Mengi Ya Kutisha Na Kushangaza Lakini Hii Ya Uyu Mtoto Ni Hatari Zaidi. 

  Mtoto Huyu Wa Miaka Kumi Na Mbili Ameshangaza Madaktari Na Watu Mbali Mbali Duniani Kwa Kutoa Vipande Vya Chupa Katika Macho Yake. Inasemekana Mtoto Huyu Hutoa Vipande 7 Vya Chupa Katika Macho Yake Kila Siku.

  Tazama Video Hizi.