• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  May 3, 2016

  Mistari 5 ya biblia itakayokusaidia katika ndoa yako.

  1. Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendo husitiri wingi wa dhambi. (1 Petro 3:4)

  2.Kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo. Na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa roho katika kifungo cha amani.   (Waefeso 4:2-3)

  3. Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana washerati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu. (Waebrania 13:4)


  4. Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe (Marko 10:9)

  5. Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. (Warumi 8:28)  

  Hii inatukumbusha mpango wa Mungu juu ya maisha yetu na ndoa zetu, Kwamba hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Mema bado yako kwa ajili yenu.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.