Sunday, April 5, 2015

MCHEZA MPIRA MAARUFU DUNIANI NEYMAR JR AMSHUKURU MUNGU KWA KUMTOA MWANAE WA PEKEE YESU KRISTO.

Chief Hope | 5:41:00 PM |

Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook Neymer Jr Aliandika Kwa Lugha Ya Kireno Maneno Haya "Yesu Kristo amefufuka na anaishi ndani ya moyo wa kila mmoja wetu, hivyo nahisi kubarikiwa, Leo sikula chocolate tu lakini pia namshukuru mungu kwa yote alioyatenda kwa ajili yetu... ... Happy Easter brother #blessed #god #jesus #love" .
0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN