• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  April 11, 2015

  MAAJABU: MTOTO WA MIAKA 11 ACHORA RAMANI YA DUNIA (KUTOKA KICHWANI) KAWEKA MIPAKA PAMOJA NA VISIWA VYOTE

  Mtoto Wa Miaka Kumi Na Moja Akichora Ramani Ya Dunia

  Kama Biblia Ilivyosema Kwamba Nyakati za mwisho maarifa yataongezeka.
  Mtoto Huyu Raia Wa Marekani Aliwaacha Watu Hoi Baada Kuchora Ramani Ya Dunia Huku Akiweka Mipaka Katika Kila Nchi Pamoja Na Kila Kisiwa, Kutoka Kichwani Bila Kuangilia Ama kunakili Popote Pale. 

  Hivi Ndivyo Ramani Ya Dunia Ilivyo Onekana Baada Ya Kumaliza Kuichota.

  Chazo Cha Habari: METRO