• Isikupite Hii

    April 2, 2015

    Music video: Usifurahi juu yangu - Upendo Nkone.

                                       
    Hii hapa ni video mpya kabisa toka kwa Mwanamama Upendo Nkone, video hii niya ule wimbo wake maarafu Usifurahi juu yangu. Enjoy Mtu wa Mungu.

    Download wimbo: Usifurahi juu yangu - Upendo Nkone.