Tuesday, July 21, 2015

NEW MUSIC: THE THREE DISCIPLES - MIC GOWER FT SIR MBEZI, G STANNA & DMY.

Chief Hope | 9:43:00 AM |

Kazi mpya kabisa kutoka kwa vijana wa R4C pamoja na Yesu Okoa Mitaa. Verse ya kwanza SirMbezi ndo anahusika (Yesu Okoa Mitaa), verse ya pili ni Mic Gower mwenyewe (R4C) na mwisho amesimama G Stanna wakati DMY (R4C) akisikika katika chorus.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN