• Isikupite Hii

  August 25, 2015

  EVENT: SACRIFICE OF PRAISE AFRICA SEASON 2. (ARUSHA) USIKOSEE!


  Sacrifice Of Praise ni project endelevu ambayo itakuwa inawakutanisha watu wa kabila na dini mbalimbali bila kubagua. 

  Baada ya hapo wote kwa pamoja tutampa bwana dhabihu za sifa, ambapo itafanyika ibada ya kusifu n kuabudu effectively, ili kila mmoja ahudumiwe na Mungu lakini pia tukishampa Bwana dhabihu hizo tunapata ulinzi na amani toka kwake lakini pia na kuzidishiwa maana tunakuwa tumemgusa. 

  Project hii inaongozwa na neno toka katika kitabu cha Waebrania.

  Mwanzilishi wa project hii ni Dezry chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu, Kwa sasa project ipo chini ya Kampuni iitwayo Africa Gospel zone (AGZ).

  Jpili tunatarajia kuifanya ibada yenyewe, tutakuwa na waimbaji mbalimbali kama Paul Clement, Kingdom Beats, James Honere, Efra Muzik Na Wengine Wengi. Pia kutakuwa na short story juu ya project hii. 

  Powered By Church Boy & Church Girl.