• Isikupite Hii

    August 5, 2015

    MUSIC: BEYOND WORDS - MIRROR FT FAITH.

    Download Wimbo Mpya "Beyond The Words" Kutoka Kwa Mirror Akiwa Amemshirikisha Faith. 
    Mirror Ni Upcoming Artist Anaefanya Vizuri Sana Katika Muziki Wa Gospel Hip Hop Hapa Tanzania.
    Mara Ya Mwisho Alipozungumza Na Blog Yetu Alisema Kwamba Yuko Kwenye Mchakato Wa Kufanya Album Yake Album Yake Ya Kwanza.