• Isikupite Hii

    SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

    August 3, 2015

    EXCLUSIVE: GAZUKO ATANGAZA KUACHIA VIDEO YAKE MPYA JUMAMOSI HII (8/8/2015).


    Gazuko moja kati ya wanaharakati wa muziki wa Gospel Hip Hop, anaetamba na ngoma yake ya "Yesu Ni Bwana", Ametangaza rasmi leo kupitia ukurasa wake wa Facebook kwamba jumamosi hii ya tarehe 8/8/2015 ataachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Asante Sana".