• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  August 8, 2015

  MUSIC VIDEO: ASANTE SANA - GAZUKO FT MATENDO ANDREW.

          
  Baada Ya Ukimya Wa Mda Mrefu, Sasa Gazuko Ameachia Kibao Kingine Kipya (Video) Inayokwenda Kwa Jina La "Asante Sana" Akiwa Na Rafiki Wake Wa Karibu Matendo Andrew.
  Video Imefanyika Chini Ya Diresctor Shack Wa Manyuka Video Production Huko Morogoro.