• Isikupite Hii

  SOMA MAKALA, HABARI MBALI MBALI NA MUZIKI WA INJILI TZ

  August 7, 2015

  MUSIC VIDEO: SMILE - HOPEKID FT BENACHI.

      
  Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya Muziki Wa Gospel Kenya Na Hapa Nchini (Tanzania), Sio Katika Ubora Wa Video Tu Hapana Hata Katika Audio, Yani Asilimia Kubwa Ya Waimbaji Wa Kenya Audio Zao Zinaubora Wa Hali Ya Juu (high quality) Tofauti Na Nyimbo Za Waimbaji Wetu Wengi Wa Muziki Wa Injili Hapa Tanzania. 

  Unadhani Shida Iko Wapi?