• Isikupite Hii

  August 19, 2015

  EVENT: YOUTH GOSPEL PARTY. (HII SI YAKUKOSA)


  Youth Gospel Party ni party ya vijana, kufurahi na kuburudika katika kristo na kuwaonesha watu kwamba hata huku kwetu (kwa Kristo kuna mambo mazuri).

  Party hii itakayofanyika tarehe 29.8.2015 pale World Galgen (Club D) Kuanzia saa sita mchana na kuendelea. (Arusha)

  Bible Challengs, Signing, Games, Pic na snacks pia zitakuwepo free. 

  Dressing Code Ni Brown, White, Black and Finally Red. Mbali na hapa hautaruhusiwa kuingia kwenye party hii. 

  Vimebaki viti Mia Tu, Piga simu ama tuma jina lako hapa 0787071719 au 0767081719.