• Isikupite Hii

    August 29, 2015

    EVENT: UMOJA GOSPEL HIP HOP VIBE TZ. (DONT MISS)


    Hii ni kwa wakazi wote wa Dar es Salaam, City Harvest Internation Church wakishirikiana na Shwari Kuu VJ wanakuletea "Umoja Gospel HipHop Vibe Tz."

    Ni tarehe 6 Mwezi wa 9, kuanzaia saa 8 Mchana nakuendelea, Hakuna kiingilio. Mahali ni City Harvest Internation Church, Tabata magengeni karibu na kanisa katoliki. Kwa Maelezo Zaidi Piga 0716 941 696