• Isikupite Hii

    September 12, 2015

    Music video: Misuli ya imani - Abwene Mwasongwe.

    Video "Misuli Ya Imani" Ujumbe mzuri na mzito kabisa kwa wakristo pia na kwa wale wasio wakristo, toka kwa mtumishi wa Mungu Abwene Mwasongwe. Barikiwa.