Friday, September 11, 2015

ASKOFU MWINGIRA AISHUKIA SERIKALI, ASEMA HAKUNA BARABARA ZA MWENDO KASI HAPA.

Chief Hope | 11:35:00 AM |
Askofu Mwingira.

Wakati kampeni za kisiasa zikipamba moto katika taifa letu na baadhi ya mambo na siri mbalimbali kuibuka kati ya wanasiasi, serikali na maaskofu. Askofu Mkuu wa Kanisa la Efatha Ministry Josephat Mwingira aishukia serikali ya Tanzania na kuieleza kuhusu utengenezaji mbaya wa Barabara za Magari yaendayo kasi.

"Hivi wewe ile barabara niya-mwendo Kasi, ile iyendayo Kimara ile, sii Kimbunga, Kuna Kasi paleee? Wee Kuna kasi hapa Dar es salaamu, hivi kasi unaweka kituo kila mahalii, kila kilometa moja kituo ndio Kasiiii? Kasi unaenda Ubungoooo Mseweeee, yani nyie wantanzania ni wajinga kiasi hicho amuelewe Kasiiiii" Alisema Askofu Mwingira akiwa katika ibada zake. 

Source: Uncle Jimmy.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN