Saturday, October 10, 2015

NGOJA NIKUJUZE: UNAZIJUA FAIDI ZA MAGANDA YA NDIZI KWA BINADAMU? SOMA HAPA.

Chief Hope | 10:14:00 AM |

USITUPE GANDA LA NDIZI, SEHEMU YA NDANI MATUMIZI YAKE.

1.Kung'arisha meno
Chukua sehemu ya ndani ya ganda la ndizi na usugue kwenye meno inaondoa yellowish na kukupa meno meupe

2.Vipele vya mbu na wadudu 
Sugua kwa ganda la ndizi kukndoa maumivu wekundu na muonekano

3.chunusi na vipele vyeusi (warts and acne)
Kata vipande vidogo vidogo vya seheju ya bdani na usugue kwenye uso wenye chunusi kuona vinapotea

5.kuondoa mikunjo usoni ( wrinkles)
Changanya ute wa yai na nyuzi nyuzi za ndani paka usoni kwa dakika 20, Kupoteza mikunjo.

6. Una viatu, Pochi au makochi ya ngozi (leather) ? sugua na sehemu ya ndani ya ndizi uone mng'ao wake.

7. Ni juisi yakichemshwa pia yaweza changanywa na juisi nyingine

Source : Healthy daily.

0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN