Thursday, November 26, 2015

PICHA 7 ZA HARUSI YA 'MOREFIRE' WA Y.O.M (TAZAMA HAPA)

Chief Hope | 8:15:00 AM | |
Bwana na Bi. Harusi.
Baltazary Paul a.k.a Morefire ambae ni mkuu wa kitengo cha media katika harakati (Movement) za Yesu Okoa Mitaa (Y.O.M) alifunga ndoa na Bi. Adel John jumapili iliyopita (tarehe 22 november) katika kanisa la River of healing Kibamba.
Rungu la Yesu na Morefire (Bwana Harusi) wakirap kwa pamojaWanayesu Okoa Mitaa wakiwa pamoja na Bi. na Bwana Harusi.0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN