Friday, November 13, 2015

INTREVIEW: KUTANA NA WATOTO 3 MAPACHA WA JOHN LISU. (+VIDEO FROM JT TV)

Chief Hope | 2:42:00 PM |
John Lisu Na Familia Yake.

Labda umekuwa ukitamani kujua mengi kuhusu maisha na familia ya John Lisu. Unataka kufahamu ilikuaje hadi mke wa John Lisu kujifungua mapacha wa Tatu? Unajua John Lisu hutumia muda wake kumsaidia mkewe (Nelly) kulea watoto? Nimekusogezea Video (Interview) toka Jt Tv ikielezea yote hayo, itazame Video hapa chini.


0 comments:

 
Content By Chief Hope | Facebook | Twitter | Copyright ©2016 TIM HEAVEN